😄Wewe unaonaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄Wewe unaonaje?
Funga apo geto kwakoMipaka ingefungwa tuliposema pengine hii mambo isingetokea
sidhani kama kwa Tanzania inaapply tizama kwenye masoko kina mama walivyojazanaHiyo ni kweli. Takwimu zinaonyesha hivyo duniani kote. Wanaume ni breadwinners wa familia. Lockdown ni ngumu sana kwao.
Jiongeze mkuu. You will know THATbaada ya kubanwa kifua ghafla
WHAT IS THIS?
Na mwenyekiti naye kafa?Rip mwenyekiti!
Means Changamoto ya upumiaji.baada ya kubanwa kifua ghafla
WHAT IS THIS?
Na sio wanaume tu sema wanaume wenye vitambi na nyadhifa zao!! Katika kesi zote za vifo ninazoziona 90% ni wenye vitambi ambao mazoezi kwao ni suala gumu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz ni viceversa kweli aiseesidhani kama kwa Tanzania inaapply tizama kwenye masoko kina mama walivyojazana
na anaua madanga ya watu tu huku mjini kwa hakika wapenda madanga mtalimia meno.Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kike, mbona anapenda sana wanaume?
Haaaaahhhhhhhna anaua madanga ya watu tu huku mjini kwa hakika wapenda madanga mtalimia meno.
sidhani kama kwa Tanzania inaapply tizama kwenye masoko kina mama walivyojazana
Kaka aliyefia Colessium... DadaNi nani huyu ?