Katibu Mkuu wa TEC: Viongozi wa dini hatuwezi kujitenga na siasa

Katibu Mkuu wa TEC: Viongozi wa dini hatuwezi kujitenga na siasa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Siasa zinaendesha maisha yetu

Siasa inagusa maisha yetu

Wanaotekwa Wana ndugu zetu tunaoishi nao mtaani na wengine ni marafiki zetu

Viongozi wa dini hatuwezi kujitenge na siasa maana siasa inawagusa waduasi wetu hivyo inatugusa sisi

Kuna video kaongea kwa kirefu Sana na kaonya juu ya kutekwa na kupotea kwa watu hovyo hovyo!!
 
Safi sana katibu wa Tec. Mbona ccm wenyewe hawajitengi na Dini?? Kucha kutwa mwenyekiti wao yuko makanisani na misikitini akitoa hongo za mamilioni ya shilingi kwa maaskofu na mashekhe.
 
Siasa zinaendesha maisha yetu

Siasa inagusa maisha yetu

Wanaotekwa Wana ndugu zetu tunaoishi nao mtaani na wengine ni marafiki zetu

Viongozi wa dini hatuwezi kujitenge na siasa maana siasa inawagusa waduasi wetu hivyo inatugusa sisi

Kuna video kaongea kwa kirefu Sana na kaonya juu ya kutekwa na kupotea kwa watu hovyo hovyo!!
Siasa hii ya Tanzania lazm isimamiwe vema ndio maana tunalishangaa hata jeshi letu lililofeli kusimamia siasa chafu na za kihuni.
 
Back
Top Bottom