Tatitizo la Manara anaropoka Sana bila kutumia akili! Kama alikosa mshauri angetuuliza huku JF tumshauri before ya press yake!Katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Wilfred Kidao amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF Wallace Karia, alifanya makosa.View attachment 2303466
sawaEndelea kula mtori nyama utazikuta chini.
TFF, Kamati ya Maadili, Haji Manara, Wallace Karia, Wilfred Kidao.
Hamna vita hapo ni maelekezo tu press zitaitiwa chumbaniHII VITA INAKOELEKEA MMH
Kwan TFF ndio wenye mpira wa nchi hiiNa kwa jinsi alivyochanganya mambo leo hii kwenye press, hata wale waliokuwa wakimtetea watachoka sasa..! Kumbe Kidao naye kalishwa maneno yaani..!