Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
TFF sio serikali bwashee ingekuwa BMT hapo ingekuwa ni wizara Moja Kwa MojaWacha aendelee kupambana na mamlaka, majibu yatapatikana soon..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF sio serikali bwashee ingekuwa BMT hapo ingekuwa ni wizara Moja Kwa MojaWacha aendelee kupambana na mamlaka, majibu yatapatikana soon..!
Na Karia nae aitwe ahojiweItakuwa jambo jema sana, kama atapigwa KABALI la miaka ya kutosha..!
Haendi mahakamani na anaendelea na kazi Sasa TFF waifungie yangaKwangu hakuna haki ya kisheria iliyotumika kumfungia Mr.Manara,chombo huru na chenye kujitegemea ndicho kingehusika na kesi hii, Mr.Manara nakushauri uende mahakamani ukadai haki yako
Haji alimwendea Kidao kumwambia habari ya Rais wa TFF Karia, Kidao yeye akaomba msamaha na akasema Karia amekosea, kwa hii kauli ndo Kidao anasema si kweli.Haji kaongwa maneno mengi hapo amekanusha lipi au yote
Tatizo mkuu hatuna chombo ambacho ni free and independent katika kufanya maamuzi kama haya, ndio maana wenzetu wana independent prosecutor wa kushughulikia issue kama hii TFF kisheria hawana uwezo wa kuwafungia yanga au club yeyote hapa nchiniHaendi mahakamani na anaendelea na kazi Sasa TFF waifungie yanga
OKAYHamna vita hapo ni maelekezo tu press zitaitiwa chumbani