The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri, kuajiriwa na kupatiwa vyeti.
Dkt. Dimwa ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na ujumbe wa Veta Veta Kanda ya Mashariki na Viongozi wa Idara ya Maendeleo ya Vija na Zanzibar huko Migombani Wilaya ya Mjini.
Aidha amesema Chama Cha Mapinduzi kinaridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar katika kuwawezesha Vijana na kuahidi kushirikiana nao