Katibu mkuu wizara ya elimu kutembelea chuo cha ualimu monduli kesho

FIKRA HAI

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
231
Reaction score
79
Hatimaye katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amepanga kutembelea Chuo cha Ualimu Monduli kesho tarehe 24/07/2014.
Aidha katika utaratibu ambao unaoneka wa kibabe Mkuu wa Chuo amewataka wakufunzi kupelekewa vitu ambavyo tungependa kumuuliza katibu mkuu na yeye awachague watakao uliza maswali hayo.
Hii Ni katika kuogopa wakufunzi kuweza kuuliza vitu ambavyo ninaweza kugusa mwenendo mzima wa uendeshaji wa Chuo pamoja na miradi ya Chuo ambayo inaonekana Ni ya wateule Fulani bila kuwa na ripoti yoyote ya mapato na matumzi.
Aidha katika mazingira yasiyotegemewa mkuu wa Chuo aliwahi kusema ataongoza kw njia ya divide and rule,kitu ambacho kinaonesha ameanza huo mkakati kwakuwapeleka semina wakufunzi wasiofundisha masomo hayo.Picha hii inatupa udhaifu wa kiuongozi ambao mwisho wake Ni mbaya kwa ustawi tasisi.
 
Kwakuwa Katibu naye yupo humu, hoja yako itafanyiwa kazi.Fungukeni vya kutosha ili iwe hadidu za rejea atakapo tia tim hapo chuoni.Hicho chuo kina bahati mbaya,alikuwepo Def.Marando alikuwa mgomgoro kweli pindi tukiwa hapo.
 
kawaida tz ni ya kibabe na hatukubal kuwa divided and ruled

Yawezekana ni wivu unamsumbua mleta mada. Baada ya kuharibu chuo alichokuwa akifanya kazi kabla ya kuhamia monduli, ni dhahiri amedhamiria kuvuruga monduli. Yeye kazi kulalamika tu kila siku na kuchochea wakufunzi wengine wafuate akili yake finyu... Masikini wengine wasioelewa wanafuata upepo; poleni sana.
 
Ukweli huuma siku zote,pengine unajaribu kuuaminisha kuwa mleta mada Ana wivu!
Kwakweli ninashauri kuyafNyia kazi yaliyotetwa kuliko kuja kukanusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…