Hatimaye katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amepanga kutembelea Chuo cha Ualimu Monduli kesho tarehe 24/07/2014.
Aidha katika utaratibu ambao unaoneka wa kibabe Mkuu wa Chuo amewataka wakufunzi kupelekewa vitu ambavyo tungependa kumuuliza katibu mkuu na yeye awachague watakao uliza maswali hayo.
Hii Ni katika kuogopa wakufunzi kuweza kuuliza vitu ambavyo ninaweza kugusa mwenendo mzima wa uendeshaji wa Chuo pamoja na miradi ya Chuo ambayo inaonekana Ni ya wateule Fulani bila kuwa na ripoti yoyote ya mapato na matumzi.
Aidha katika mazingira yasiyotegemewa mkuu wa Chuo aliwahi kusema ataongoza kw njia ya divide and rule,kitu ambacho kinaonesha ameanza huo mkakati kwakuwapeleka semina wakufunzi wasiofundisha masomo hayo.Picha hii inatupa udhaifu wa kiuongozi ambao mwisho wake Ni mbaya kwa ustawi tasisi.