PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Takwimu za kupika.
 
Tunaongozwa na matapeli tupu
 
uongo huwa ukweli pale unaporudiwa rudiwa kila siku.Good for her
 
In recent discussions regarding water accessibility in Tanzania, statistics have been cited indicating that 83% of rural areas and 91.2% of urban areas have access to clean water.

However, these figures are misleading and do not accurately reflect the reality experienced by many communities across the country.

For instance, in Chunya District, Mbeya Region, which comprises more than 12 wards, many residents have never seen a water pipe or had reliable access to clean drinking water.

This discrepancy highlights a significant gap between reported statistics and the lived experiences of people in these areas.

The notion that such a high percentage of the population has access to water is not only false but also misleading to the public and policymakers. It creates a false sense of security and complacency regarding the urgent need for infrastructural improvements and investment in water supply systems.

Many rural communities continue to rely on unsafe water sources, such as rivers and unprotected wells, which expose them to various waterborne diseases. The lack of access to clean water has dire consequences for health, education, and overall quality of life. Children, in particular, suffer greatly, as they often miss school due to illnesses caused by contaminated water.

Moreover, the absence of reliable water sources impacts agricultural productivity, which is vital for the livelihoods of many families. Without sufficient water, farmers cannot cultivate their crops effectively, leading to food insecurity and economic challenges in these communities.

It is crucial to address these discrepancies in reported statistics and the actual situation on the ground. Local leaders and government officials must prioritize investment in water infrastructure to ensure that all citizens have access to clean and safe drinking water. This includes not only the installation of pipes and boreholes but also the maintenance of existing water supply systems.

Additionally, community engagement is essential. Residents should be involved in planning and decision-making processes regarding water supply projects to ensure that their needs and perspectives are taken into account. This participatory approach can lead to more sustainable and effective solutions.

In conclusion, while statistics may suggest that the majority of the population has access to clean water, the reality is far different for many communities, particularly in rural areas like Chunya in Mbeya Region.

It is imperative to recognize and address these discrepancies to provide equitable access to safe drinking water for all citizens. Only through honest reporting and substantial investment can we hope to improve the water situation and enhance the quality of life for those who are currently underserved.
ON POINT--INTERESTING OBSERVATIONS,

... These seemingly contents from (your) dissertation, coming out of pertinent study -- which pertains to Chunya District, are well founded; and reflect the similar cases/situations in the Country.

Having, sometimes in recent past, interacted with many communities members--of respective areas in Simiyu(Bariadi), Rorya and Tarime pertinent to similar studies--your content is relatable and commendable.

There is a lot of community work to be done in our society.

Hopeful, we will get there--given we sort out of governing institutions.

Blessss
 
In Tanzania, many politicians exhibit a troubling tendency to fabricate statistics that lack real substance.

This practice is often aimed at deceiving higher authorities into believing that substantial work is being done, when in reality, little to nothing is being accomplished.

This disconnect between reported achievements and actual progress has significantly contributed to the prevalence of poorly executed development projects and, in many cases, the absence of such initiatives altogether.

When one considers the broader implications of having leaders who engage in such deception, it becomes apparent that this behavior has also played a role in the rising unemployment rates.

Older individuals frequently retain positions of power, sidelining younger generations who are eager and capable of contributing positively to society.

This situation not only stifles innovation but also perpetuates a cycle of stagnation, where fresh ideas and perspectives are overlooked in favor of established, yet ineffective, practices.

The notion of meritocracy is further undermined when positions are allocated based on tribal, religious, or gender affiliations rather than qualifications or capabilities.

In some cases, certain groups may be favored despite lacking the necessary skills or knowledge to fulfill their roles effectively.

This favoritism leads to inefficiency and hampers progress, as individuals are placed in positions they are ill-equipped to handle.

Consequently, the quality of governance and service delivery suffers, leaving communities disenfranchised and disillusioned.

The ramifications of this systemic issue extend beyond individual projects or jobs; they contribute to a broader cycle of poverty and underdevelopment.

When capable and ambitious youth are excluded from opportunities, the potential for economic growth diminishes.

Young people bring energy, creativity, and new ideas essential for driving progress in various sectors.

By continuing to prioritize loyalty over competence, the country risks falling further behind in an increasingly competitive global landscape.

Furthermore, the intertwining of political party systems and government operations exacerbates these challenges. When political parties exert undue influence over governmental functions, it blurs the lines of accountability and responsibility.

Resources may be allocated based on party loyalty rather than public need, leading to mismanagement and inefficiency.

This entanglement can hinder effective governance and perpetuate cycles of poverty and dependency.

To address these challenges, it is crucial to separate party politics from government functions. Political parties should exist to represent the interests of their constituents and facilitate democratic processes.

At the same time, government institutions must operate independently, focusing on delivering services based on merit and public need rather than political affiliations.

By fostering a clear distinction between these two entities, Tanzania can begin to build a more effective and accountable governance system.

Moreover, there is a pressing need to invest in education and skills development programs. Empowering young people through education can help bridge the gap between their potential and the opportunities available to them.

By equipping the youth with the necessary skills and knowledge, the country can cultivate a workforce capable of driving development and innovation. This investment in human capital is vital for addressing unemployment and fostering economic growth.

Additionally, transparency and accountability must be prioritized within government and political systems. Establishing mechanisms for citizens to hold their leaders accountable can enhance trust and encourage responsible governance.

By promoting a culture of openness, citizens can better understand the decision-making processes that affect their lives, leading to more informed and engaged communities.

In conclusion, the current landscape of Tanzanian politics and governance is marked by a troubling disconnect between reported achievements and actual progress.

The fabrication of statistics, prioritization of loyalty over competence, and entanglement of party politics with government functions have created significant barriers to development.

To pave the way for a more prosperous future, it is essential to embrace transparency, invest in youth empowerment, and separate political parties from governmental responsibilities.

Only then can Tanzania hope to break the cycle of poverty and create a more equitable and thriving society for all its citizens.
Well said! You have exhausted all my points. To say the least, statistics is like bikinis, what they show is important but what they hide is essential, as quoted from Prof. Aaron Levenstein.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Excuse me mhe waziri? Umesema ?
 
Upatikanaji wa maji yapi ambao unazungumziwa hapa? Je ni maji safi na salama toka katika Mamlaka za Maji zilizopo au ni pamoja na maji ambayo yanapatikana katika mito, vijito, visima vya watu binafsi na pia kutoka katika Maziwa tuliyo nayo? Upatikanaji wa maji ni suala moja. Usambazaji wa maji hayo ni suala jingine katika kuhakikisha kwamba maji yanayopatikana yanawafikia walengwa. Nchini zipo sehemu ambazo mabomba yamesambaa kila mahali. Kwa bahati mbaya hayawafikii walengwa kwa sababu kadhaa ikiwemo upotevu wa maji hayo njiani, mitambo ambayo inashindwa kuyafikisha maji sehemu husika, na pengine mgao wa maji usio wa haki ambapo sehemu moja hupewa mgao kwa upendeleo maalum wakati wengine wakihangaika kuyapata maji hayo. Je asilimia hizo zinazozungumziwa zimeyatilia manani matatizo haya? Kwa wakati huu wengi wa Viongozi hupenda kutumia takwimu kuonesha mafanikio yao. Je, umegungua kwamba mara nyingi wanakuwa na asilimia zaidi ya 95 za mafanikio na wengine huenda zaidi na kuweka asilimia 99.9 ambayo huzua maswali mengi kuliko majibu kwa wanayoyaangalia mafanikio hayo? Kumbukeni hao mnaowaletea takwimu hizo wanafahamu ukweli wa nini kinachoendelea. Unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa muda lakini huwezi kuwahadaa watu wote kwa muda wote. Kumbuka, kweli ikidhihiri uongo hujitenga.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Maji ndiyo tatizo maji sio safi
 
Utashangaa inatuchukua tena miaka 50+ kukamilisha hizo asilimia chache zilizobaki ili kufikia 100% na kusahau tatizo la maji, hapo sasa ndiyo unakubali kuwa Sema ukweli ikutese kwa muda mfupi kuliko kusema uongo ikutese milele.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasitufanye tutoe maneno makali ambayo hatupanga kutoa
 
Back
Top Bottom