Katibu Mtendaji BMT, Msitha: Rais Samia huku kwetu anaupiga mwigi, tumeshuhudia mafanikio makubwa kipindi chake

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Tanzani (BMT) Neema Msitha ameyazungumza hayo leo jijini Dodoma katika mkutano wa waandishi wa habari akieleza mafanikio na muelekeo kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita.

Raha sana kuwa kiongozi katika taifa kama hili , ni taifa simple sana kuliongoza
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Tanzani (BMT) Neema Msitha ameyazungumza hayo leo jijini Dodoma katika mkutano wa waandishi wa habari akieleza mafanikio na muelekeo kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita.

AIBU YETU WATANZANIA.

Lakini muda wa ukombozi upo karibu sana.
 
Back
Top Bottom