Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Oct 22, 2023 #21 Boss la DP World said: Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu? Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo? Click to expand... nadhani akiwa na ubongo tu inatosha, hata kama ana vyeti feki.
Boss la DP World said: Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu? Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo? Click to expand... nadhani akiwa na ubongo tu inatosha, hata kama ana vyeti feki.
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Oct 22, 2023 Thread starter #22 chapwa24 said: nadhani akiwa na ubongo tu inatosha, hata kama ana vyeti feki. Click to expand... Sawa
chapwa24 said: nadhani akiwa na ubongo tu inatosha, hata kama ana vyeti feki. Click to expand... Sawa
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Oct 22, 2023 Thread starter #23 M2WAWA2 said: SIFA ZA KUPATA CHEO KWENYE CHAMA: 1.UWE MWEPESI KUMSIFIA SIFIA MWENYEKITI WAKO 2.JITAHIDI SANA KUWAUMIZA WAPINZANI WAKO. KWA SIFA HIZI TU CHEO UNACHO, ELIMU PELEKA SEKRETARIETI YA AJIRA Click to expand... Kumbe
M2WAWA2 said: SIFA ZA KUPATA CHEO KWENYE CHAMA: 1.UWE MWEPESI KUMSIFIA SIFIA MWENYEKITI WAKO 2.JITAHIDI SANA KUWAUMIZA WAPINZANI WAKO. KWA SIFA HIZI TU CHEO UNACHO, ELIMU PELEKA SEKRETARIETI YA AJIRA Click to expand... Kumbe
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Oct 23, 2023 #24 Vyeti feki kuwa navyo wewe na Mimi, Kama ujapelekwa mbigili gereza gumu bongo kuliko, watu na nyota zao mjini.
Vyeti feki kuwa navyo wewe na Mimi, Kama ujapelekwa mbigili gereza gumu bongo kuliko, watu na nyota zao mjini.
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Oct 23, 2023 #25 Hata nape alisemekana pia alifeli fom four na akapewa nafsi hyo ya uenezi na SAS HV ni waziri kamili
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Oct 23, 2023 #26 Awe na "mudomo" mpana usio na staha.