Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nadhani akiwa na ubongo tu inatosha, hata kama ana vyeti feki.Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?
Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?