Katibu mwenezi taifa CCM Kenan Kihongosi anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa Pwani.

Katibu mwenezi taifa CCM Kenan Kihongosi anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa Pwani.

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,951
Reaction score
6,399
Kama heading inavyojieleza katibu muenezi wa ccm taifa anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa pwani yote ambapo atatembelea KIBAHA,RUFIJI na MKURANGA... yetu macho na masikio ni juzi tu apo waziri amekataza mikutano

Soma pia Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa hadhara wa Mwenezi Kihongosi, taarifa hiyo ilikuwa kabla ya zuio
1782645318956.jpg
 
Mikutano ya kisiasa si imepigwa marufuku na Katambi kwa vyama vyote?

Chama Tawala kipo kwenye kukagua utekelezaji wa ilani yake kwa Wananchi👈

CCM ipo kwenye ukaguzi sio kufanya Siasa kama za Chadema 👈
 
Back
Top Bottom