PreGE2025 Katibu mwenezi wa CCM Arusha: Gambo Aulizwe mke wake ni nani ndani wajumbe wa CCM

PreGE2025 Katibu mwenezi wa CCM Arusha: Gambo Aulizwe mke wake ni nani ndani wajumbe wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho Na mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo aligawa gesi na mke wake alitoa kama elfutano ya nauli ya kubebea gesi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

alifafanua na kusema utoaji wa gesi ambao alifanya mbunge Mrisho Gambo ni utekelezaji wa ilani illa ille hela aliyo iongezea kutoka kwa mke wake Aulizwe gambo mke wake ni nani ndani ya CCM.

 
Bashite huyo anaendelea kumnyoosha Gambo… kaweka mashangingi kusudi ili amnyooshe Gambo..!!

Sema mi nasikia raha hayo majitu yakinyukana yenyewe kwa yenyewe 😹😹😹
 
Bashite huyo anaendelea kumnyoosha Gambo… kaweka mashangingi kusudi ili amnyooshe Gambo..!!

Sema mi nasikia raha hayo majitu yakinyukana yenyewe kwa yenyewe 😹😹😹
Nkamu unafurahia vita? 😃
 
Back
Top Bottom