Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 191
KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amedai kuwa Chama hakikutenda haki kwani waliogombea walikuwa ni wanachama wa ngazi za chini, ambao wengi walijipanga na walitarajia kushinda, ambapo halmashauri kuu ilifanya uamuzi bila kuwashirikisha kinyuma na misingi ya chama(CHAMA CHA DEMOKRASIA).
Ameendelea kudai kuwa anapigiwa simu na watu wengi wakihoji kwanini wamedhulimiwa haki yao ya kugombea ilihali wamejijenga miaka mitano kuja kufanya kazi, lakini chama kimewaengua.
Amemalizia kwa kutupia lawama zake kwa kamati kuu na kuwaomba kutengua uamuzi wake na kuwaruhusu warudi kugombea na kushindana na CCM.