Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika Sekondari kutakuwa na mkondo miwili na somo la Hisabati ni lazima na somo la business study litakuwepo ili mwanafunzi akimaliza kusoma aweze kujifungulia biashara yake asitegemee kuajiriwa na haya ndo mabadiliko yanayotakiwa ili kupunguza tatizo kubwa la wanafunzi ambao hawawezi kujitegemea"