Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

Kwa fursa Gani walizonazo hao waarabu au wakaliman wa dini
Watu watawezaje kufanya biashara za tende, kanzu na mafuta bila ya kujua kiarabu?
Mimi ni mkristo ila naunga mkono ya kuwa kiarabu kifundishwe halaf hilo somo si la lazima mwanafunzi ataamua mwenyewe asome au la. Weka udini mbepeni.
 
Hii ndio sababu bado tunatawaliwa,

Alie kwambia kiarab ndio uislam nani.¿
Ni waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.
 
Ni waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.
Mkuu hilo soma sio la lazima mkuu.
Mwanafunzi atachagua mwenyewe asome au la?
 
Nadhani wako sawa.
Kiarabu na Kifaransa ndio Lugha zinazotumiwa sana afrika ukiachana na kingereza.
Nadhani watilie sana mkazo kifaransa.
 
Ni waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.
Kwanza nusu ya kiswahili ni kiarab ficha umbulula wako

Katafute neno dar es salaam limetokana na nini

Kama wachukia kiarab acha hata kuzungumza kiswahili
 
Kwanza nusu ya kiswahili ni kiarab ficha umbulula wako

Katafute neno dar es salaam limetokana na nini

Kama wachukia kiarab acha hata kuzungumza kiswahili
kuna mtu alikuja na stori ya shigide za kiarabu ...ngoja tukijue ili tuwapate........
 
Wakuu

Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?

==

Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA

"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika Sekondari kutakuwa na mkondo miwili na somo la Hisabati ni lazima na somo la business study litakuwepo ili mwanafunzi akimaliza kusoma aweze kujifungulia biashara yake asitegemee kuajiriwa na haya ndo mabadiliko yanayotakiwa ili kupunguza tatizo kubwa la wanafunzi ambao hawawezi kujitegemea"
View attachment 3221041
Mwisho primary school itakuwa ni kwa ajili ya kujifunza lugha tu
 
Katika vitu vyote hivi hakuna walichoona cha kuongeza;
  • ufundi simu
  • ufundi wa pikipiki na magari ya umeme
  • artificial intelligence
  • cryptocurrency
  • kilimo cha mbogamboga na matunda
  • nishati na nishati mbadala
  • madini na gesi
  • robotics
Mpaka watuletee kifaransa na kiarabu..?
 
Back
Top Bottom