Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Yah kifaransa kimewekwa geresha ila target ilikuwa kuweka kiarabu ili kupanua WiGo wa ajira kwa wazenji na kupata walimu wa elimu ya dini ya kiislamu kwenye shule za serikaliIslamic state
Waarabu wenyewe wanakiona kiarabu ni lugha ni local alafu sisi ndo tunaaza kushoboka nacho
Hapo kifaransa kimewekwa tu kama legesha
Huna akili unaongozwa na chuki wewe...kiarabu sio uislam bibieHatutaki Uislamu kwenye elimu yetu hatutaki Tena ondoeni Kiarabu haraka
Huo mtaala wa business study unatungwa na nani?Wakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika Sekondari kutakuwa na mkondo miwili na somo la Hisabati ni lazima na somo la business study litakuwepo ili mwanafunzi akimaliza kusoma aweze kujifungulia biashara yake asitegemee kuajiriwa na haya ndo mabadiliko yanayotakiwa ili kupunguza tatizo kubwa la wanafunzi ambao hawawezi kujitegemea"
View attachment 3221041
Kiarabu kina faida gani kwetu?Huna akili unaongozwa na chuki wewe...kiarabu sio uislam bibie
Kitatusaidia kuzalisha wakalimani wa kutosha.Dk said Muhammed =kiarabu
Hapo kifaransa kimewekwa kama geresha tu.
Sasa sisi kiarabu kitatusaidia nini.
Kwa fursa Gani walizonazo hao waarabu au wakaliman wa diniKitatusaidia kuzalisha wakalimani wa kutosha.
Hii ndio sababu bado tunatawaliwa,Hatutaki Uislamu kwenye elimu yetu hatutaki Tena ondoeni Kiarabu haraka
Hii nchi ngumu sanaYah kifaransa kimewekwa geresha ila target ilikuwa kuweka kiarabu ili kupanua WiGo wa ajira kwa wazenji na kupata walimu wa elimu ya dini ya kiislamu kwenye shule za serikali