Watu watawezaje kufanya biashara za tende, kanzu na mafuta bila ya kujua kiarabu?Kwa fursa Gani walizonazo hao waarabu au wakaliman wa dini
Achana nao hao.Hii ndio sababu bado tunatawaliwa,
Alie kwambia kiarab ndio uislam nani.¿
Ni waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.Hii ndio sababu bado tunatawaliwa,
Alie kwambia kiarab ndio uislam nani.¿
Kichina nacho kina faida gani
Mkuu hilo soma sio la lazima mkuu.Ni waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.
kiarabu tutaongelea wapi? waarabu wenyew wanasome ngeli na kifaransa, wazungu hwasomi kiarabuHuna akili unaongozwa na chuki wewe...kiarabu sio uislam bibie
Kwanza nusu ya kiswahili ni kiarab ficha umbulula wakoNi waislamu hao, wanataka kuifanya Tanganyika nchi ya kiisalmu ili mbeleni kiarabu kitambulike kama lugha rasmi, nasemaje hatutakubali hata iweje hatutakubali.
kuna mtu alikuja na stori ya shigide za kiarabu ...ngoja tukijue ili tuwapate........Kwanza nusu ya kiswahili ni kiarab ficha umbulula wako
Katafute neno dar es salaam limetokana na nini
Kama wachukia kiarab acha hata kuzungumza kiswahili
Mbongo ni mbongo tukifaransa mmepachika tu.....rudeni kwenu oman huko
Mwanamke kwa kiarabu anaitwaje NAMI nipate neno la utani humuMbongo ni mbongo tu
Mwisho primary school itakuwa ni kwa ajili ya kujifunza lugha tuWakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika Sekondari kutakuwa na mkondo miwili na somo la Hisabati ni lazima na somo la business study litakuwepo ili mwanafunzi akimaliza kusoma aweze kujifungulia biashara yake asitegemee kuajiriwa na haya ndo mabadiliko yanayotakiwa ili kupunguza tatizo kubwa la wanafunzi ambao hawawezi kujitegemea"
View attachment 3221041
Wewe si hautaki hiyo lugha hifundishwe, unge juwa hata kupitia watoto wakoMwanamke kwa kiarabu anaitwaje NAMI nipate neno la utani humu
Kwenu we na nani?!
Awamu hii ni zamu ya akina amiiiJamaa atakuwa Mzanzibari siyo ?