Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Said Nguya amewaasa vijana kuendelea kuilinda kwa wivu mkubwa amani iliyopo na kuwapuuza wale wote wanaotaka kuiyumbisha amani tuliyonayo kwa maslahi yao binafsi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu Tawala ametoa wito huo, aliposhiriki katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wilayani humo, akiambatama na wajumbe wa Kamati ya Usalama Wilaya, Watumishi wa Umma, wananchi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Sokoine Memorial Dakawa.