Katibu Uenezi CCM Arusha: Godbless Lema ni kama Afisa Masoko wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko wa CCM

Soma Pia: Godbless Lema: Watu wa Ikulu walipiga simu wanaomba watu wa CHADEMA isaidie kutuliza maandamano

Amesema Lema atazungumzia kuhusu miradi iliyofanywa na CCM na kwamba asipozungumzia kuhusu ripoti ya CAG basi ataachia nafasi hiyo

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko wa CCM

Amesema Lema atazungumzia kuhusu miradi iliyofanywa na CCM na kwamba asipozungumzia kuhusu ripoti ya CAG basi ataachia nafasi hiyo

lema aliacha ujambazi lakini bado hajaacha utapeli
 
Huyu si katibu wa CCM Mkoa ni katibu wa Makonda.
 
Back
Top Bottom