Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko wa CCM
Amesema Lema atazungumzia kuhusu miradi iliyofanywa na CCM na kwamba asipozungumzia kuhusu ripoti ya CAG basi ataachia nafasi hiyo