Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa Taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne amejenga shule nyingi zaidi kuliko zilizojengwa na serikali ya awamu ya tano.
"Miaka mitano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ujenzi wa shule za sekondari alijenga shule 622, ndani ya miaka minne ya Dkt. Samia Suluhu Hassan shule za sekondari zilizojengwa ni 925"
"Miaka mitano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ujenzi wa shule za sekondari alijenga shule 622, ndani ya miaka minne ya Dkt. Samia Suluhu Hassan shule za sekondari zilizojengwa ni 925"