PreGE2025 Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe: Wanawake wa Songwe tunaunga Mkoa kauli mbiu ya "No Reforms No Election

PreGE2025 Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe: Wanawake wa Songwe tunaunga Mkoa kauli mbiu ya "No Reforms No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe Pendo Willium ameungana na Mkoa juu ya kauli mbiu ya "No Reforms No Election" katika kuhakikisha uchaguzi mkuu Octoba 2025 haufanyiki, kwani chaguzi mbalimbali zilizopita zimewaumiza hasa kwa vyama vya upinzani, ambapo vimeshindwa kupata haki yao ya msingi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akielezea Uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao baadhi ya wanachama wa upinzani akiwemo mwanachama aitwae Steven aliuwa katika Jimbo la Tunduma, kisa uchaguzi huo.

 
Back
Top Bottom