Katibu wa Bunge BARAKA ILDEPHONCE atatufaa - ni MTU asiyekuwa na makando kando - smart na mwenye msimamo imara

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Mwenyezi Mungu aendelee kumhifadhi Rais wetu SSH na watendaji wake wa karibu ,aaamin aaaamin 😍

#Nchi Kwanza😍
 
Jf,

Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
  • Mteua yuko makini sana
  • Mteule ni mcha Mungu sana
  • Bunge limepata mtendaji imara sana.
Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana.
PIA SOMA
Mkuu Kabende, does this mean alitolewa alikuwa misfit mwenye makandokando?.

Unamaanisha
Mtangulizi wake hakuwa makini sana?
Hakuwa ni mcha Mungu sana?
Bunge halikuwa na mtendaji imara sana?.

Tuko kwenye dunia ya reasoning, everything happens for a reason, lazima tufike mahali mamlaka ya uteuzi iwe obliged to give reason inapofanya mabadiliko premature kwenye hizi constitutional positions. Post ya Katibu wa Bunge is a constitutional post kama CAG, NEC, Msajili wa Vyama, Wenyeviti wa Tume Haki za binaadamu etc, whoever holds these office ata hold for five years renewable for two consecutive terms, anapo ondolewa kabla hata ya miaka 5, mamlaka ya uteuzi had to give reasons.

Ndio maana CAG Assad alilalamika ameindolewa kinyume cha Katiba!.
Naendelea kusisitiza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?
P
 
Thread tayari au sio.
 
Attachments

  • 20240913_204332.jpg
    20240913_204332.jpg
    153.5 KB · Views: 7

  • Nimezungumzia aliyekukwaza - alokuwemo watasema wengine;
  • Lkn pia nimesema juu ya aliyeteuliwa sasa issue ya katiba kufuatwa au kutofuatwa utashauri wewe au mwingine

Narudia tena kuandika kuwa huyu KATIBU wa Bunge mteuliwa ni mcha Mungu sana!
 
Mkuu Kabende, does this mean alitolewa alikuwa misfit mwenye makandokando?.

Unamaanisha
Mtangulizi wake hakuwa makini sana?
Hakuwa ni mcha Mungu sana?
Bunge halikuwa na mtendaji imara sana?.

Tuko kwenye dunia ya reasoning, everything happens for a reason, lazima tufike mahali mamlaka ya uteuzi iwe obliged to give reason inapofanya mabadiliko premature kwenye hizi constitutional positions. Post ya Katibu wa Bunge is a constitutional post kama CAG, NEC, Msajili wa Vyama, Wenyeviti wa Tume Haki za binaadamu etc, whoever holds these office ata hold for five years renewable for two consecutive terms, anapo ondolewa kabla hata ya miaka 5, mamlaka ya uteuzi had to give reasons.

Ndio maana CAG Assad alilalamika ameindolewa kinyume cha Katiba!.
Naendelea kusisitiza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?
P
Tunaambiwa tuna mihimili mitatu ya utawala,

SWALI, unakuwaje mhilimi wa Dola unateua katibu wa mihimili wa bunge,

Je Bunge linaweza kuteua Katibu Mkuu Ofisi ya Rais?
Hivyo viongozi wa Bunge na Mahakama wanakuwa watetezi wa Serikali msishangae,
 
Kwamba atafanya nini ambacho hakikufanyika au anauwezo wa kubadilisha system au Bunge kuendelea kuwa a Rubber Stamper ?!!!!

Hata angekuwa malaika tone la damu haliwezi kubadilisha rangi ya bahari...
 
Mlishakuwa trafiki wa siasa kila mmoja lzm mmtoe kasoro - tubadilike
 
Back
Top Bottom