Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Hakuna umakini wowote hapo. Ni kujipendekeza tu kwa kwenda mbeleJf,
Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana.
- Mteua yuko makini sana
- Mteule ni mcha Mungu sana
- Bunge limepata mtendaji imara sana.
PIA SOMA
- Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge
Mkuu Kabende, does this mean alitolewa alikuwa misfit mwenye makandokando?.Jf,
Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana.
- Mteua yuko makini sana
- Mteule ni mcha Mungu sana
- Bunge limepata mtendaji imara sana.
PIA SOMA
Huko sisemi chochote - wewe shuhudia unachojua juu yakeMimi huwa nasikia hata Supika ni Mcha Mungu!
Amekutuma kumpigia kampeniJf,
Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana.
- Mteua yuko makini sana
- Mteule ni mcha Mungu sana
- Bunge limepata mtendaji imara sana.
PIA SOMA
- Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge
PMkuu Kabende, does this mean alitolewa alikuwa misfit mwenye makandokando?.
Unamaanisha
Mtangulizi wake hakuwa makini sana?
Hakuwa ni mcha Mungu sana?
Bunge halikuwa na mtendaji imara sana?.
Tuko kwenye dunia ya reasoning, everything happens for a reason, lazima tufike mahali mamlaka ya uteuzi iwe obliged to give reason inapofanya mabadiliko premature kwenye hizi constitutional positions. Post ya Katibu wa Bunge is a constitutional post kama CAG, NEC, Msajili wa Vyama, Wenyeviti wa Tume Haki za binaadamu etc, whoever holds these office ata hold for five years renewable for two consecutive terms, anapo ondolewa kabla hata ya miaka 5, mamlaka ya uteuzi had to give reasons.
Ndio maana CAG Assad alilalamika ameindolewa kinyume cha Katiba!.
Naendelea kusisitiza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?
P
Tunaambiwa tuna mihimili mitatu ya utawala,Mkuu Kabende, does this mean alitolewa alikuwa misfit mwenye makandokando?.
Unamaanisha
Mtangulizi wake hakuwa makini sana?
Hakuwa ni mcha Mungu sana?
Bunge halikuwa na mtendaji imara sana?.
Tuko kwenye dunia ya reasoning, everything happens for a reason, lazima tufike mahali mamlaka ya uteuzi iwe obliged to give reason inapofanya mabadiliko premature kwenye hizi constitutional positions. Post ya Katibu wa Bunge is a constitutional post kama CAG, NEC, Msajili wa Vyama, Wenyeviti wa Tume Haki za binaadamu etc, whoever holds these office ata hold for five years renewable for two consecutive terms, anapo ondolewa kabla hata ya miaka 5, mamlaka ya uteuzi had to give reasons.
Ndio maana CAG Assad alilalamika ameindolewa kinyume cha Katiba!.
Naendelea kusisitiza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?
P
SIKU ukiteuliwa wanaokufahamu wasikusemee jambo?Uchawa ni mbaya sana😭😭
katiba ndio ibadilike, imepindisha sanaMlishakuwa trafiki wa siasa kila mmoja lzm mmtoe kasoro - tubadilike