Hili ni fukuto bila katiba moto utawaka.Yaani Hela ya miradi tuitumie kuwapa watu wapige Domo?
So what? Licha ya kumuona meko ni dictector, walimfanya nini la maana? Zaidi ya matamko tu yasiyo na athari kubwa?Ikifanyika hivyo ndo safi hata mataifa yataona alivyodicteta
YesHivi kuna wajinga wanaamini kuwa Ndugai anafika hata mwezi February akiwa Speaker?
Kweli elimu ya Katiba inahitajika sana Tanzania!
Samia anamuondoa Ndugai kupitia Chama tu hana hata haja ya kwenda Bungeni.
Kwa Katiba yetu spika Kama ni mbunge akikosa ubunge anakosa na u spika. Ni very simple kikao kimoja tu cha Ccm kamati kuu au halmashauri kuu kinamaliza kazi
Kweli Kabisa....Hivi kuna wajinga wanaamini kuwa Ndugai anafika hata mwezi February akiwa Speaker?
Kweli elimu ya Katiba inahitajika sana Tanzania!
Ni nani kasema Spika lazima awe Mbunge ?Samia anamuondoa Ndugai kupitia Chama tu hana hata haja ya kwenda Bungeni.
Kwa Katiba yetu spika Kama ni mbunge akikosa ubunge anakosa na u spika. Ni very simple kikao kimoja tu cha Ccm kamati kuu au halmashauri kuu kinamaliza kazi
Kweli Kabisa....
Ni nani kasema Spika lazima awe Mbunge ?
Kwahio sio lazima awe Mbunge ila kama alikuwa Mbunge akiondolewa Ubunge atakosa Uspika....
Too academic (swali la kujibia mtihani darasani, mtaani halina uhalisia)Kwahio sio lazima awe Mbunge ila kama alikuwa Mbunge akiondolewa Ubunge atakosa Uspika....
Vipi tuki-refer kesi ya Zitto na Ubunge wa Mahakama (kwamba hata Chama kikikuvua uanachama bado unapewa leeway ya kuendesha kesi na kugombania Ubunge wako....., Huoni kwamba Chama huenda kisiwe na final say ?
Kwahio sio lazima awe Mbunge ila kama alikuwa Mbunge akiondolewa Ubunge atakosa Uspika....
Vipi tuki-refer kesi ya Zitto na Ubunge wa Mahakama (kwamba hata Chama kikikuvua uanachama bado unapewa leeway ya kuendesha kesi na kugombania Ubunge wako....., Huoni kwamba Chama huenda kisiwe na final say ?
Inategemea hio Kesi itapigwa danadana na yeye kuomba muda wa hapa na pale kuleta utetezi... (In short sintofahamu na usumbufu utakaotokea) hakuna Rais amabaye atakuwa tayari kupigana hivi vita (ukizingatia kuna vita vingine on other fronts)Kwa iyo Kuna Mahakama itaruhusu Ndugai aendelee kuwa mbunge akivuliwa uanachama na kikao chini ya Rais Samia? Hapa hapa Tanzania?
Inategemea hio Kesi itapigwa danadana na yeye kuomba muda wa hapa na pale kuleta utetezi... (In short sintofahamu na usumbufu utakaotokea) hakuna Rais amabaye atakuwa tayari kupigana hivi vita (ukizingatia kuna vita vingine on other fronts)
Cha maana wenye busara watawakalisha kitako na hili litakuwa swept under the carpet