Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

Nafikiri wewe sio mtanzania au ni mgeni Tanzania!

Unaisema Tanzania gani mahakama ipige danadana kesi iliyo na maslahi kwa Rais?

Soma katiba ya Tanzania Rais ni ni nani alafu urudi hapa
Hujawahi kuona wala kusikia Power Struggle..., Mshindi huwa hajulikani mpaka hio struggle iishe..., utashangaa hapo makundi yatakayojitokeza na yakisha-smell weakness na sentiments za watu mtaani ndio utaelewa kwamba Nothing is....., until it is.....

Ila sababu najua Tanzania na hawa mafahari wanajua kinachoweza kutokea usitegemee kuna atakayediriki kumsukuma mwenzake (labda Speaker aamue kuondoka )
 
Endelea kujidanganya! Kama ni mgeni Tanzania karibu sana! Ni vizuri uanze kusoma historia ya Tanzania siasa zake tangu uhuru Hadi sasa!

Marehemu kambona angekuwa hai angekuelewesha vizuri maana ya kushindana na Rais wa JMT.
 
Endelea kujidanganya! Kama ni mgeni Tanzania karibu sana! Ni vizuri uanze kusoma historia ya Tanzania siasa zake tangu uhuru Hadi sasa!

Marehemu kambona angekuwa hai angekuelewesha vizuri maana ya kushindana na Rais wa JMT.
Its all about timing na historia kuandikwa na mshindi..., kete mbili au tatu zingekwenda tofauti na zilivyokwenda ungeweza kusikia kwamba Nyerere alikuwa Kiongozi aliyepinduliwa na kina Uncle Tom kutupeleka ambapo wangetupeleka...

Wenye busara they don't mess or bet with the unknown..., Na huyu mama ameingia kwa nguvu ya kuonyesha Demokrasia na Uhuru na Haki (unadhani kwa kuminya mmhimili mmoja katika separation of Power) huku dunia anayoitangazia kila siku kwamba kuna Demokrasia watamfikiria vipi ? Hio ni a very risky business ambayo kuifanya itakuwa ngumu sana na itabakia kwenye vijimaneno tu ambavyo mwezi wa pili tutakuwa tunaongelea jingine.....

Na mtu akifukuzwa hataondoka kimya kimya itakuwa ni kama Mama kumkabidhi Microphone ili aendelee kumvua nguo (na with public sentiment that's the war she can not afford to fight)....
 
Tatizo unamuangalia Samia Kama Samia

Nakushauri muangalie Samia Kama Rais wa Nchi, Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali na Amir Jeshi Mkuu
 
Tatizo unamuangalia Samia Kama Samia

Nakushauri muangalie Samia Kama Rais wa Nchi, Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali na Amir Jeshi Mkuu
Naam anaweza kuamua watu wacharazwe Bakora na kumiminiwa risasi hapo Kariakoo..., ila kufanya kwake hivyo kutamuongezea chochote politically au kumuharibia....

Ndio maana sababu hawa ni wana-Siasa nawaangalia ki-Siasa Siasa..., hata kumjibu kwake Ndugai jana na kuwa personal nadhani politically hakupata ushauri (yeye angeachana nae na akatuma watu wamfanyie hio kazi chafu) wakati yeye aki-maintain ile illusion kwamba ni More White than White and Cleaner than Clean..... (nadhani hapa alikosa ushauri wa Mwanadiplomasia)
 
Hana hiyo jeuri na ategemee pingamizi maana ata yeye chama hakimkubali na anajua hili
 
Tatizo CC
Hilo Ni tatizo Rais ana nguvu kwenye mihimili yote. Iwe mahakama au bunge.
 
Ndugai hana mpango wa kupambana na ssh kwani anajua hana huo ubavu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kimbuka aliye mkingia kifua zito ni ofisi ya bunge
 
Your browser is not able to display this video.
 
Rudi shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…