Katibu wa CCM kata ya Mlali alalamika kupigwa na Diwani walipokuwa kwenye kikao

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herieth Ngonde amedai kushambuliwa na Diwani wa kata hiyo aliyetambulika kwa Frank Mwananziche kwa kupigwa wakati wa kikao cha siasa kilichokuwa kinajadili maendeleo ya chama hicho

Akizungumza na wanahabari katibu wa chama hicho amesema diwani huyo amemshambulia mara baada ya kutofautiana kauli katika kikao hicho

Kwa upande wake Diwani wa Kata hiyo anayedaiwa kufanya tukio hilo amesema kuwa kwa sasa suala hilo lipo chini ya chama cha Mapinduzi,na mpaka sasa jitihada za kulisaka jeshi la polisi zinaendelea kwaajili ya ufafanuzi zaidi.


Your browser is not able to display this video.
 
Hapa guluguja Amos Makala kimyaa anajamba jamba tu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…