Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa hivyo wanachama wa chama hicho na Watanzania wanatakiwa kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza.
Semindu ameyasema hayo kwenye ziara ya kuimarisha chama kwenye Jimbo la Sengerema ambapo anapita kila kata kuzungumza na wanachama wa CCM.
Semindu ameyasema hayo kwenye ziara ya kuimarisha chama kwenye Jimbo la Sengerema ambapo anapita kila kata kuzungumza na wanachama wa CCM.