Katibu wa CHADEMA Mbeya: Mlinzi wa Lissu hajulikani anashiliwa kituo gani. Polisi wakana kuhusika

Katibu wa CHADEMA Mbeya: Mlinzi wa Lissu hajulikani anashiliwa kituo gani. Polisi wakana kuhusika

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
TAARIFA KWA UMMA.

Juu ya kiongozi mwenzetu ambae ni Mlinzi wa Mhe. Lissu, Award Kalonga.

Jana January 4, mwaka huu tulipokea taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuwa kiongozi wetu anahitajika na Polisi Mkoa wa Songwe kwa hiyo amepelekwa huko.

Leo January 5, mapema tumefika hapa Central Vwawa na hatujamuona ndugu yetu wanadai wao hawamshikilii pia tumeenda kwenye ofisi ya RCO MKOA WA SONGWE nae anadai wao hawana mtu huyo.

Hivyo basi mpaka muda huu hatuelewi kiongozi wetu yuko wapi na ana hali gani ?.

Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya na Songwe kuondoa utata huu na kueleza umma kuwa ndugu yetu mnamshikilia katika kituo gani?

Ni haki yake na yetu kujua aliko mpendwa wetu ili kufuatilia tuhuma zake na kumpatia mahitaji ya kibinadamu ikiwa ni pamoja na kumuachia huru au kumpeleka Mahakamani maana leo ni siku ya nane anashikiliwa kinyume cha Sheria.

Na Hamad Mbeyale,
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya.
 
Habari kama hizi zinarukwa tu siku hizi! NADHANI WANANCHI TUMESHAYAZOEA MAMBO HAYA
 
Tumechoka na habari za polisi na chadema,
Polisi hawa watatumiwa na ccm na serikali mpaka lini kukandamiza,kuumiza na kuwaua viongozi wa Chadema?
Wakati mwingine ccm muwe wavumilivu huwezi ukawa mshindi kwenye kila kitu hapa dunia,na Mungu hakupi vyote,
 
Bila kuanza operesheni ya kuwaua polisi na familia zao huu usenge hautakaa uishe.
 
Kuna siku heshima itarejea na itarejea baada ya kundi lisilo na silaha kupata silaha kukabiliana na kundi linalotumia silaha vibaya kuonea wasio nazo.
 
Mimi nakereka sana na hizi taarifa za watu kutekwa alafu watu wanazipost huku, tafuteni njia mbadala..hivi hamjatambua kuwa Serikali pamoja na ccm hawataki na kupenda amani wala utulivu wa nchi hii ili wanaowapinga waweze kuishi kwa amani?

Bunge letu likilipuliwa na drone na tukawa na siku ya kukumbuka kwa vifo vya wabunge itatusaidia watu kurudi kwenye drawing table kwa tathmini zaidi.

PENYE FUJO NA WEWE ZIDI KUTIA FUJO WENDA AMANI IKAPATIKANA.

Kama mmekubali kunyanyasika tulia ubuni njia sahihi ya kujikwamua kutoka kwenye kadhia hii. Watu wanatekwa ila wabunge wanazidi kupiga domo tu, kuwalipua tu.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%.
 
Back
Top Bottom