Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Safi sna.Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote
Mungu Ibariki Chadema
Hawa wamepewa hela na ccm. Wafyeke waende waungane na wale mamluki wa ZanzibarCHADEMA mnatakiwa kuwa makini sana. Vita dhidi ya wahuni wenye nyenzo za kila aina! siyo nyepesi hata kidogo.
Usaliti ni laanaMambo yanazidi kuchanganya!
NaamAisee...
CHADEMA katika kipindi wanapaswa kuwa makini, uvumilivu na maamuzi magumu ni hiki kipindi.
Wahuni hawalali, CHADEMA imekuwa threat kwao kwenye kila nyanja, hii vita ni vita ya kutaka kuifanya CHADEMA iwe CCM B..
CHADEMA inabidi wapambane kwa jasho na damu.
Fyekeni wasaliti wote, fyekeni mamluki bila huruma..
CHADEMA wakishinda hii battle watakuwa katika nafasi nzuri sana.
Hahaa anafikiri umakini ni kumuacha aendelee kuropoka uongo.Umakini ni pamoja na kusimamia Katiba ya Chama
Kipindi hiki ni kigumu sana, ni wazi Lumumba wapo nyuma ya hizi drama tunazo ziona kila kukicha.Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote
Mungu Ibariki Chadema
Wacha apewe nafasi ya kujitetea tusikie mashudu yake!Kusimamishwa haitoshi afukuzwe kabisa
Wameshahongwa ili walete taharukiWacha apewe nafasi ya kujitetea tusikie mashudu yake!