Katibu wa Chadema Morogoro asimamishwa uongozi

well done,
good move politically speaking chadema
 
Ukiche
Ukicheka na nyani utavuna mabua. Fyeka nyani na tumbili wote
 
Nawapongeza viongozi wa CHADEMA kwa kua mbele ya muda.

Hii ni project kama ile ya kuita press ya kuhama chama mwaka jana kuelekea Chaubwabwa, na mwisho wa siku haikufanikiwa.

Naona waliamua kuja na project ya Salum Mwalimu kufurushwa ili waanze kujisogeza na CHADEMA.

Taratibu za chama zinajulikana , hao wanaoitwa wadau waliochangia pesa kwanini wao ndio wasije hadharani kusema walimpa Heche kiasi gani na kwanini hakikufika?

Taratibu za fedha za chama hakuna mahali makamu mwenyekiti anaonekana anahusika na mambo ya fedha.

Leo unaona hadi kibaka kama Yericko Nyerere anadai eti uwajibikaji wa chama alichohama na vimedia uchwara unaona kabisa hili ni igizo linalosukumwa kimkakati.

Fukuzeni makapi yote chama kibaki safi, zipo taratibu za kudai transparency ila sio hii mbinu ya project yao.
 
CHADEMA walikuwepo watu wenye nguvu sana zama za kina zito kabwe na slaa lakin walitoka wao chama kikabaki imara kabisa, kaja mbowe mkubwa kabisa na genge lake wakapiga sarakasi zao weeee! Lakini bado CHADEMA ikabaki imara kamisa kwa hiyo sina hofu kabisa kabisa kwa hao ma hawa wengine
 
Wakateni magovi bila ganzi wapumbuvu hao
 

Ni jambo jema sana wasaliti ambao walikuwa hawajaondoka, waondolewe ili chama kibakie safi.
 
Hashauri hatua zichukuliwe haraka sana namna hii kwa kiongozi yeyote msaliti hasa kipindi hiki
 
Chadema ni ya wananchi sio ya viongozi, nimeshangaa sana hawa viongozi kuanzisha mivutano ambapo walikuwa na muda mwingi wa kukihama chama kipindi kimekataa kushiriki uchaguzi.

Ina umiza sana,wao kama wamefika bei wapishe ,sisi tusonge mbele
 
Chadema ni ya wananchi sio ya viongozi, nimeshangaa sana hawa viongozi kuanzisha mivutano ambapo walikuwa na muda mwingi wa kukihama chama kipindi kimekataa kushiriki uchaguzi.

Ina umiza sana,wao kama wamefika bei wapishe ,sisi tusonge mbele
Tumewadhibiti vibaya sana!
 
KUMEANZA KUCHANGAMKA EEH HAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…