Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Hamasa na chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM, amewataka Vijana wa Kitanzania kutanguliza utu mbele, kutodharauliana na kuhakikisha kuwa wanapambana katika kulijenga Taifa bila kuogopa chochote wala kujionea huruma wanapotaka kufanya maamuzi katika jambo lolote.
Mshama ameyasema hayo Jijini Dodoma alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Maalum wa Mabinti wa UVCCM wa Chuo Kikuu Cha Dodoma wenye lengo la kuwaandaa na kuwapa somo juu ya CCM na kumpigania Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu Ujao .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema Vijana wengi wamekuwa wakishindwa kutimiza malengo na ndoto zao kwa kuhofia kukosa ‘Connection ‘ Serikalini nakusisitiza maneno hayo ni ya hovyo na hayastahili kupewa nafasi na kijana.