Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,116
Nipo safari ya kikazi mkoani Tabora,leo nikiwa natoka ofisini kwenda hotelini,niliona magari mengi yamepaki barabarani! Kwa kua sio kawaida hasa kwa Mkoa wa Tabora kua na magari mengi vile,nikawiwa kusogea na kuona kuna nini??
Pale kulikua na Shaka Hamid Shaka! Shaka anatumia magari ya Serikali kwenye ziara yake,Shaka anatumia polisi kwenye msafara wake,ninaposema polisi maana yangu kuna polisi wanasafisha njia kwa mbele,ili Shaka aweze kupita!
Shaka alifunga baadhi ya njia kwa muda aliokua pale! Shaka alikua na mkutano na wananchi, wakati wapinzani wakifanya hivyo,wataambiwa wanavunja sheria za Nchi!
Nauliza hivi Kesho Bwana Mbowe na yeye afunge barabara afanye mikutano yake,si atapigwa mabomu nakupewa kesi ya Uhujumu uchumi?? Serikali kuweni makini sana,kuna kesho pia!