Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi mambo waliyoyatimiza katika kipindi chao cha uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kipingi ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano ulioandaliwa na Diwani wa kata hiyo Juma raibu kwaajili ya kuzungumza na wananchi wake.