Uchaguzi 2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa

photo_2020-07-14_19-44-57.jpg
 
Ukishangaa ya Jecha utayaona ya firikunjome,je unaundg na marehem?au ni majina tu,
 
Sasa Leo Hii Wewe Ndio Unashituka...?


Hii ndio Athari Mojawapo ya Ujamaa/Ukomonisti.
 
Katiba mpya ni muhimu sana. Haiwezekani mambo haya japo ile ya jecha ilikuwa kiboko sana
 
Anafuata nyayo za Kaka yake, 2015 alishindwa kwenywe kura za maoni. Mbunge aliyemaliza muda wake hata sikuwahi kumsikia mpaka mitano imeisha.
 
Huyu anaeminya haki ya kupata habari alisoma wapi sheria huyu hapaswi kushinda Kabisa
 
Back
Top Bottom