Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unategemea kusikia nn kutoka kwa mvaa makubazi mzanzibari tena anaitwa Khamis!!!???Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamis Mbeto Khamis,
Hawa wazanzibar wana-enjoy wanakopa bara tunalipaWewe ulidhani mtu kutoka ccm anambinu mbadala za kupata fedha za kuongozea nchi?