PreGE2025 Katibu wa Siasa na Uenezi Njombe: Amjulia hali Katibu Mwenezi BAWACHA Taifa Sigrada Mligo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana majeraha ya kupigwa na anayeidaiwa kuwa ni Mlinzi wa CHADEMA.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Tukio la kupigwa Sigrada Mligo lilitokea Machi 25, 2025 majira ya saa 5 usiku nje ya Ukumbi wa kikao cha ndani cha CHADEMA kilicholenga kutatua mgogoro wa Chama hicho katika mkoa wa Njombe.
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.
 
😆😆😆😆😁
 
Huyo Sigrada Mligo anaonekana ana shida! Haiwezekani mlinzi amtembezee kichapo tu pasipokuwa na sababu. Na CHADEMA wanatakiwa wajiridhishe uaminifu wake ndani ya chama. Na kama ni team Mbowe, basi ni wakati wao sasa wa kuvunja makundi na hivyo kujenga chama kimoja.
 
Umecheka kwa kuwa we ni zuzu
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.

Chama kichunguze sana.

Josaya alikuwa CHADEMA, akaenda CCM na kupewa nafasi ya katibu mwenezi!! Je, alipokuwa CHADEMA, alikuwa mwanachama wa CHADEMA au mwanachama wa CCM ndani ya CHADEMA?

Kuna tuhuma kwamba Sigrada katika kuitafuta hiyo nafasi alitumia sana pesa, na kwamba pesa ilitoka CCM kupitia Josaya! Josaya alikuwa na maslahi gani mpaka kumpa Sigrada pesa ya CCM kwaajili ya kutafuta uongozi ndani ya CHADEMA?

Sigrada mara nyingi amesikika kusema hataki kusikia NO REFORM NO ELECTION, inawezekana vipi mjumbe wa kamati kuu kugomea maamuzi ya kamati kuu?

Sigrada yupo kwenye makundi ya wanaCCM ya whatsapp, huko ameingizwa kwa lengo gani?

CHADEMA ifanye uchunguzi wa kina kuupata ukweli. Na uchunguzi usiishie hapo, bali uende kwenye ngazi mbalimbali za uongozi. Adui aliyepo ndani ni mbaya kuliko wa nje.
 
Huyo Sigrada Mligo anaonekana ana shida! Haiwezekani mlinzi amtembezee kichapo tu pasipokuwa na sababu. Na CHADEMA wanatakiwa wajiridhishe uaminifu wake ndani ya chama. Na kama ni team Mbowe, basi ni wakati wao sasa wa kuvunja makundi na hivyo kujenga chama kimoja.

Tatizo siyo timu MBOWE bali umamluki wa CCM ndani ya CHADEMA.
 
Chama kichunguze sana.

Josaya alikuwa CHADEMA, akaenda CCM na kupewa nafasi ya katibu mwenezi!! Je, alipokuwa CHADEMA, alikuwa mwanachama wa CHADEMA au mwanachama wa CCM ndani ya CHADEMA?

Kuna tuhuma kwamba Sigrada katika kuitafuta hiyo nafasi alitumia sana pesa, na kwamba pesa ilitoka CCM kupitia Josaya! Josaya alikuwa na maslahi gani mpaka kumpa Sigrada pesa ya CCM kwaajili ya kutafuta uongozi ndani ya CHADEMA?

Sigrada mara nyingi amesikika kusema hataki kusikia NO REFORM NO ELECTION, inawezekana vipi mjumbe wa kamati kuu kugomea maamuzi ya kamati kuu?

Sigrada yupo kwenye makundi ya wanaCCM ya whatsapp, huko ameingizwa kwa lengo gani?

CHADEMA ifanye uchunguzi wa kina kuupata ukweli. Na uchunguzi usiishie hapo, bali uende kwenye ngazi mbalimbali za uongozi. Adui aliyepo ndani ni mbaya kuliko wa nje.
Angalizo sahihi kabisa.
 
Yan mijitu mitahira nchi hii ipo ccm yan eti mnaleta comedy za usamalia wema kwa ksichowahusu wkt mwnykt wenu taifa alisema kifo ni kifo tu baada ya kuuawa mzee kibao na mwili wake kutupwa mbona hamkwenda wajulia hali family yake masengerema nyie. Eti hapo napo mnatafuta kiki ya ksiasa.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana majeraha ya kupigwa na anayeidaiwa kuwa ni Mlinzi wa CHADEMA.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Tukio la kupigwa Sigrada Mligo lilitokea Machi 25, 2025 majira ya saa 5 usiku nje ya Ukumbi wa kikao cha ndani cha CHADEMA kilicholenga kutatua mgogoro wa Chama hicho katika mkoa wa Njombe.
Mamluki aliipata haki yake
 
Chama kichunguze sana.

Josaya alikuwa CHADEMA, akaenda CCM na kupewa nafasi ya katibu mwenezi!! Je, alipokuwa CHADEMA, alikuwa mwanachama wa CHADEMA au mwanachama wa CCM ndani ya CHADEMA?

Kuna tuhuma kwamba Sigrada katika kuitafuta hiyo nafasi alitumia sana pesa, na kwamba pesa ilitoka CCM kupitia Josaya! Josaya alikuwa na maslahi gani mpaka kumpa Sigrada pesa ya CCM kwaajili ya kutafuta uongozi ndani ya CHADEMA?

Sigrada mara nyingi amesikika kusema hataki kusikia NO REFORM NO ELECTION, inawezekana vipi mjumbe wa kamati kuu kugomea maamuzi ya kamati kuu?

Sigrada yupo kwenye makundi ya wanaCCM ya whatsapp, huko ameingizwa kwa lengo gani?

CHADEMA ifanye uchunguzi wa kina kuupata ukweli. Na uchunguzi usiishie hapo, bali uende kwenye ngazi mbalimbali za uongozi. Adui aliyepo ndani ni mbaya kuliko wa nje.
Apigwe chini haraka sn huyo mama kama anapinga maamuzi ya kamati kuu,hakuna tena muda wa kupoteza kwa sasa.
 
kwann hawakufila mshenzi huyo nadhani habari yake itakuwa imeisha

kwann asipigwe rose mayemba?
 
Back
Top Bottom