Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rudi Rwanda wewe MtutsiHaogopi kuambukizwa virusi vya Ebola na M.pox?
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana majeraha ya kupigwa na anayeidaiwa kuwa ni Mlinzi wa CHADEMA.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Tukio la kupigwa Sigrada Mligo lilitokea Machi 25, 2025 majira ya saa 5 usiku nje ya Ukumbi wa kikao cha ndani cha CHADEMA kilicholenga kutatua mgogoro wa Chama hicho katika mkoa wa Njombe.
😆😆😆😆😁Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.
We umesahau kwenu?Rudi Rwanda wewe Mtutsi
Umecheka kwa kuwa we ni zuzuNimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana, ccm bado mna siasa za kizee ile mbaya. Miaka hii bado mnatuma watu kwenda kuvuruga mikutano ya cdm mkitegemea kuwaharibia haiba yao? Hii mbinu ya kizee mmeishia kuwaokota ccm wenzenu, tena wale mazombie.
Huyo Sigrada Mligo anaonekana ana shida! Haiwezekani mlinzi amtembezee kichapo tu pasipokuwa na sababu. Na CHADEMA wanatakiwa wajiridhishe uaminifu wake ndani ya chama. Na kama ni team Mbowe, basi ni wakati wao sasa wa kuvunja makundi na hivyo kujenga chama kimoja.
Angalizo sahihi kabisa.Chama kichunguze sana.
Josaya alikuwa CHADEMA, akaenda CCM na kupewa nafasi ya katibu mwenezi!! Je, alipokuwa CHADEMA, alikuwa mwanachama wa CHADEMA au mwanachama wa CCM ndani ya CHADEMA?
Kuna tuhuma kwamba Sigrada katika kuitafuta hiyo nafasi alitumia sana pesa, na kwamba pesa ilitoka CCM kupitia Josaya! Josaya alikuwa na maslahi gani mpaka kumpa Sigrada pesa ya CCM kwaajili ya kutafuta uongozi ndani ya CHADEMA?
Sigrada mara nyingi amesikika kusema hataki kusikia NO REFORM NO ELECTION, inawezekana vipi mjumbe wa kamati kuu kugomea maamuzi ya kamati kuu?
Sigrada yupo kwenye makundi ya wanaCCM ya whatsapp, huko ameingizwa kwa lengo gani?
CHADEMA ifanye uchunguzi wa kina kuupata ukweli. Na uchunguzi usiishie hapo, bali uende kwenye ngazi mbalimbali za uongozi. Adui aliyepo ndani ni mbaya kuliko wa nje.
Mamluki aliipata haki yakeKatibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana majeraha ya kupigwa na anayeidaiwa kuwa ni Mlinzi wa CHADEMA.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Tukio la kupigwa Sigrada Mligo lilitokea Machi 25, 2025 majira ya saa 5 usiku nje ya Ukumbi wa kikao cha ndani cha CHADEMA kilicholenga kutatua mgogoro wa Chama hicho katika mkoa wa Njombe.
Apigwe chini haraka sn huyo mama kama anapinga maamuzi ya kamati kuu,hakuna tena muda wa kupoteza kwa sasa.Chama kichunguze sana.
Josaya alikuwa CHADEMA, akaenda CCM na kupewa nafasi ya katibu mwenezi!! Je, alipokuwa CHADEMA, alikuwa mwanachama wa CHADEMA au mwanachama wa CCM ndani ya CHADEMA?
Kuna tuhuma kwamba Sigrada katika kuitafuta hiyo nafasi alitumia sana pesa, na kwamba pesa ilitoka CCM kupitia Josaya! Josaya alikuwa na maslahi gani mpaka kumpa Sigrada pesa ya CCM kwaajili ya kutafuta uongozi ndani ya CHADEMA?
Sigrada mara nyingi amesikika kusema hataki kusikia NO REFORM NO ELECTION, inawezekana vipi mjumbe wa kamati kuu kugomea maamuzi ya kamati kuu?
Sigrada yupo kwenye makundi ya wanaCCM ya whatsapp, huko ameingizwa kwa lengo gani?
CHADEMA ifanye uchunguzi wa kina kuupata ukweli. Na uchunguzi usiishie hapo, bali uende kwenye ngazi mbalimbali za uongozi. Adui aliyepo ndani ni mbaya kuliko wa nje.
Vipi na wewe ni Mtutsi?We umesahau kwenu?