Ikiwa Masauni alifukuzwa kwa kuongeza miaka mitatu tu , kutoka 30 hadi 33 , iweje katibu awe na miaka 50 ?
kwakweli tumeyapokea malalamiko na ghadhabu binafsi dhidi ya mtu huyu, hasa kutoka kwa ambao soi wana SI SI EMU.
Mnafanya kazi nzuri mno, kwa weledi na umahiri mkubwa sana ya kufuatilia mambo ya taasisi zinazo watawala nchini, hongereni sana.
Ili kujiridhisha, tunaomba muwe wastahimilivu na wenye subra wakati tunashughulikia malalamiko yenu na kujiridhisha kwa haki ikiwe ni kweli kijana huyu ana miaka 34, 49, 50 au 53 kama malalamiko yanavyo wasilishwa , maana umri wake kwenye kadi ya chama unachangamoto dhidi ya cheti cha kuzaliwa, lakini pia kitambulisho chake cha Taifa kina changamoto ya umri dhidi ya kadi ya kupigia kura, kadi ya clinic na leaving certificate ya form4 na form6.
Taarrifa za umri kwenye nyaraka hizo hazisikilizani hata kidogo.
Ndugu wadau, kujiridhisha kwetu kama taasisi hakutaishia hapo,
Tutatizama na kanuni za chama kwa nafasi husika ikiwa zimekiukwa ama la.
Asant kwa uvumilivu wako ...