Matumizi yake ni makubwa sana, platic surgery kwa breast enlargement, designer clothes, kuna wakati alikwenda holidays 3 ndani ya miezi sita. Zote jumla alilipa £25,000Madeni haya huwa yanatoka wapi? Yuko kwenye peak, anaingiza hela nyingi, huwa zinakwenda wapi? anafanya biashara gani mpaka zipotelee humo? Sky nieleze madeni yanakujaje kwa mfano?
Nyumba yake ya vyumba 9 vya kulala heating peke yake ni £2,000 kwa mwezi na £12,000 mshahara wa mkata majani na housekeeper.Madeni haya huwa yanatoka wapi? Yuko kwenye peak, anaingiza hela nyingi, huwa zinakwenda wapi? anafanya biashara gani mpaka zipotelee humo? Sky nieleze madeni yanakujaje kwa mfano?
Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisaNyumba yake ya vyumba 9 vya kulala heating peke yake ni £2,000 kwa mwezi na £12,000 mshahara wa Mkapa majani na housekeeper.
Kuna wakati alikuwa anashindana na Victoria Beckham bila kufahamu kuwa Beckham ni brand name by itself.Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa
Then nimekupata, alitapanya mali kama yule motto wa kwenye biblia!Kuna wakati alikuwa anashindana na Victoria Beckham bila kufahamu kuwa Beckham ni brand name by itself.
Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa
Kumbe ndio kutapanya.. extravagancy!
Huyu alikuwa anajiuza kwa footballers ndiyo alimpata Dwight York akajilengesha na mimba.
Lakini alikuwa bomba kweli, au vipi?Haswaa wakati huo Katie alikuwa anatafuta fame mjini
Hakuna haja ya kukumbushwa kwani nani hajui kuna kupanda na kushukaHivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa
Ndipo hapo tunapokosea!Hakuna haja ya kukumbushwa kwani nani hajui kuna kupanda na kushuka
Duuh ndo nimecheki now...huyo mtoto wake kibonge mbona kama hayuko sawa?Huyu alikuwa anajiuza kwa footballers ndiyo alimpata Dwight York akajilengesha na mimba.
Ndio hawa? au