Katie Price (Jordan) has been declared bankrupt

Role model wangu, ubuyu wa kidhungu haunogi, si unajua wengine ndio hivyo tena lugha haipandi, siku nyingine uwe unaweka ka samari kwa kiswahili
 
Nitashukuru ana tena sana
 
Huyu dada kaolewa mara kibao ila anapenda sana anasa
Dwight Yorke na Peter Andre ni baadhi ya waume zake wa zamani
Yaani tangu enzi ni kubadilisha wanaume tu na watamkimbia sana
Amefanya vituko vingi sana na sasa hiyo nyumba yake kubwa itbidi ipigwe mnada tu maana hata kui maintain na kulipia hawezi tena madeni kila kona
 
Alikuwa anawaambia wanaume nioe nikufanye uwe tajiri, Mimi ndiye nimemtajirisha Peter Andre
 
Alikuwa anawaambia wanaume nioe nikufanye uwe tajiri, Mimi ndiye nimemtajirisha Peter Andre

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mbwembwe yaani huwa namfananisha na Wema sijui kwanini
Katie alitengeneza hela sana ila ni mtumiaji mbaya sana
Na madawa yamemuharibu mpaka akafungwa kwa kuendesha gari akiwa njwiiii
Bado akashikwa tena
Naona safari hii nyumba inaenda maana ule uzuri umeisha hakuna wa kumpapatikia tena
 
Anaishi London or USA?
 
Nakumbuka manzi alikuwaga ana kula bata huyu lle mbaya
Hasa alipokuwa na mimba ya Dwight York sijui ni stress zile baada ya Dwight kumwambia hana mpango na mimba kwani hawakuipanga. Alianza kwenda club na tumbo lake kumbuka club enzi zile ni sigara kwa kwenda mbele alipiga mitungi mimba yote. Mtoto kuzaliwa kilema
 
Aisee nakumbuka ...alikuwa ni drama queen ile balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…