Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaisubiriJapo ulimlenga Sky naomba nikujibu kwenye post kamili... Nitakutag
Nitashukuru ana tena sanaJapo ulimlenga Sky naomba nikujibu kwenye post kamili... Nitakutag
Nitashukuru ana tena sana
Alikuwa anawaambia wanaume nioe nikufanye uwe tajiri, Mimi ndiye nimemtajirisha Peter AndreHuyu dada kaolewa mara kibao ila anapenda sana anasa
Dwight Yorke na Peter Andre ni baadhi ya waume zake wa zamani
Yaani tangu enzi ni kubadilisha wanaume tu na watamkimbia sana
Amefanya vituko vingi sana na sasa hiyo nyumba yake kubwa itbidi ipigwe mnada tu maana hata kui maintain na kulipia hawezi tena madeni kila kona
Haswaa wakati huo Katie alikuwa anatafuta fame mjini
Alikuwa anawaambia wanaume nioe nikufanye uwe tajiri, Mimi ndiye nimemtajirisha Peter Andre
Anaishi London or USA?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mbwembwe yaani huwa namfananisha na Wema sijui kwanini
Katie alitengeneza hela sana ila ni mtumiaji mbaya sana
Na madawa yamemuharibu mpaka akafungwa kwa kuendesha gari akiwa njwiiii
Bado akashikwa tena
Naona safari hii nyumba inaenda maana ule uzuri umeisha hakuna wa kumpapatikia tena
Anaishi London or USA?
Huyu alikuwa anajiuza kwa footballers ndiyo alimpata Dwight York akajilengesha na mimba.
Hasa alipokuwa na mimba ya Dwight York sijui ni stress zile baada ya Dwight kumwambia hana mpango na mimba kwani hawakuipanga. Alianza kwenda club na tumbo lake kumbuka club enzi zile ni sigara kwa kwenda mbele alipiga mitungi mimba yote. Mtoto kuzaliwa kilemaNakumbuka manzi alikuwaga ana kula bata huyu lle mbaya
Aisee nakumbuka ...alikuwa ni drama queen ile balaaHasa alipokuwa na mimba ya Dwight York sijui ni stress zile baada ya Dwight kumwambia hana mpango na mimba kwani hawakuipanga. Alianza kwenda club na tumbo lake kumbuka club enzi zile ni sigara kwa kwenda mbele alipiga mitungi mimba yote. Mtoto kuzaliwa kilema
Alipompata Peter Andre nilifikiri atatulia kumbe bata ni bata ustaarabu wake matope