Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Nov 29, 2019 Thread starter #41 Diana Spencer said: Hivi ile ndo sababu, mtoto katoka hivi? Click to expand... Ajuae ni Mungu
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Nov 30, 2019 #42 Ila alizaa mtoto mgonjwa fulani hivi.... Sky Eclat said: Haswaa wakati huo Katie alikuwa anatafuta fame mjini Click to expand...
Ila alizaa mtoto mgonjwa fulani hivi.... Sky Eclat said: Haswaa wakati huo Katie alikuwa anatafuta fame mjini Click to expand...
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 1, 2019 #43 Diana Spencer said: Hivi ile ndo sababu, mtoto katoka hivi? Click to expand... Sidhani kama ndio sababu hiyo kwani watoto wengi wanazaliwa hivyo na sio sababu ya moja kwa moja
Diana Spencer said: Hivi ile ndo sababu, mtoto katoka hivi? Click to expand... Sidhani kama ndio sababu hiyo kwani watoto wengi wanazaliwa hivyo na sio sababu ya moja kwa moja
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 1, 2019 Thread starter #44 black sniper said: Sidhani kama ndio sababu hiyo kwani watoto wengi wanazaliwa hivyo na sio sababu ya moja kwa moja Click to expand... Huyu hapa mtoto mwenyewe amekua
black sniper said: Sidhani kama ndio sababu hiyo kwani watoto wengi wanazaliwa hivyo na sio sababu ya moja kwa moja Click to expand... Huyu hapa mtoto mwenyewe amekua
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 1, 2019 #45 Sky Eclat said: Alipompata Peter Andre nilifikiri atatulia kumbe bata ni bata ustaarabu wake matope Click to expand... Ameamua kuwarudia na kuwaambia kina Peter wamsaidie kulipa hela kwani na yeye aliwapa hela zake sana tu [emoji23] Naona matumizi yake na madeni hayalingani kabisa na akicheza na kwa hawa revenue hachomoki she is in deep @“&
Sky Eclat said: Alipompata Peter Andre nilifikiri atatulia kumbe bata ni bata ustaarabu wake matope Click to expand... Ameamua kuwarudia na kuwaambia kina Peter wamsaidie kulipa hela kwani na yeye aliwapa hela zake sana tu [emoji23] Naona matumizi yake na madeni hayalingani kabisa na akicheza na kwa hawa revenue hachomoki she is in deep @“&
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 1, 2019 #46 Sky Eclat said: View attachment 1278826 Huyu hapa mtoto mwenyewe amekua Click to expand... Kakua sana maskini Baba mzima
Sky Eclat said: View attachment 1278826 Huyu hapa mtoto mwenyewe amekua Click to expand... Kakua sana maskini Baba mzima
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,751 Reaction score 4,946 Dec 1, 2019 #47 Mastaa wanajisahau sana