Katie Price (Jordan) has been declared bankrupt

Katie Price (Jordan) has been declared bankrupt

Sidhani kama ndio sababu hiyo kwani watoto wengi wanazaliwa hivyo na sio sababu ya moja kwa moja
1575229640832.jpeg

Huyu hapa mtoto mwenyewe amekua
 
Alipompata Peter Andre nilifikiri atatulia kumbe bata ni bata ustaarabu wake matope

Ameamua kuwarudia na kuwaambia kina Peter wamsaidie kulipa hela kwani na yeye aliwapa hela zake sana tu [emoji23]
Naona matumizi yake na madeni hayalingani kabisa na akicheza na kwa hawa revenue hachomoki she is in deep @“&
IMG_1528.jpg
 
Back
Top Bottom