Katie Price (Jordan) has been declared bankrupt

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katie Price has been declared bankrupt in a hearing at the High Court, which was told she had failed to stick to a plan to repay her debts.

The former model and reality TV star was not present at the London hearing.

Last year, Price, 41, came to an arrangement with her creditors for a repayment plan known as an Individual Voluntary Arrangement (IVA).

But the insolvency practitioner overseeing her IVA said she had failed to keep to the terms of the agreement.

Now that she's been made bankrupt, the Official Receiver will take control of her financial affairs and property.

Price, who lives in West Sussex, found fame in the 1990s as a glamour model under the name Jordan and was once said to be worth more than £45 million.

Source: BBC News
 
Sky Eclat,
Madeni haya huwa yanatoka wapi? Yuko kwenye peak, anaingiza hela nyingi, huwa zinakwenda wapi? anafanya biashara gani mpaka zipotelee humo? Sky nieleze madeni yanakujaje kwa mfano?
 
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke
 
Madeni haya huwa yanatoka wapi? Yuko kwenye peak, anaingiza hela nyingi, huwa zinakwenda wapi? anafanya biashara gani mpaka zipotelee humo? Sky nieleze madeni yanakujaje kwa mfano?
Matumizi yake ni makubwa sana, platic surgery kwa breast enlargement, designer clothes, kuna wakati alikwenda holidays 3 ndani ya miezi sita. Zote jumla alilipa £25,000
 
Madeni haya huwa yanatoka wapi? Yuko kwenye peak, anaingiza hela nyingi, huwa zinakwenda wapi? anafanya biashara gani mpaka zipotelee humo? Sky nieleze madeni yanakujaje kwa mfano?
Nyumba yake ya vyumba 9 vya kulala heating peke yake ni £2,000 kwa mwezi na £12,000 mshahara wa mkata majani na housekeeper.
 
Nyumba yake ya vyumba 9 vya kulala heating peke yake ni £2,000 kwa mwezi na £12,000 mshahara wa Mkapa majani na housekeeper.
Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa
 
Kuna wakati alikuwa anashindana na Victoria Beckham bila kufahamu kuwa Beckham ni brand name by itself.
 
Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa

1574825339863.jpeg

Hii ni range yake aliinunua £75,000 na tangu alipakiwa special.
 
Hivi huwa hawana ma economists kuwashauri kuwa u-star wako siyo permanent, kuna siku utachuja na kukosa wateja. Hakuna haja ya nyumba kubwa kama hivyo, gharama zake ziko hivi na hivi at the end of the day itakufilisi! Fanya maoja, bili tatu... hii nne acha kabisa
Hakuna haja ya kukumbushwa kwani nani hajui kuna kupanda na kushuka
 
Naona mtu anavyoenda kuangukia kwenye matumizi ya drugs soon.
 
Back
Top Bottom