Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

Luka kwa uchawa huo kwa CCM na Rais, usipoambulia hata uWED jambo hili litakuja kukukatisha sana tamaa. Jaribu kuwatafuta akina Bia Yetu et al. wakupe uzoefu.

Kwa CCM niijuayo mimi, usipokuwa karibu na waridi kamwe huwezi kunukia uwaridi. Nakushauri kuanzia leo anza kuweka namba yako ya simu katika nyuzi zako, pengine utaambulia buku tatu ya bando kutoka Lumumba (kama motisha ya buku 7 ya bando bado ipo kwenye kamati ya propaganda).
 
unafikiri tungefika hapa tukiwa imara Kama tungekuwa na vyombo dhaifu?
Ajali inatokea mita 100 ( uwanja wa mpira) airport, wavuvi wenye mitumbwi ya mbao ndiyo wanakuwa wa kwanza kufika eneo la tukio! Viko wapi vyombo imara? Inabidi mtu awajibishwe. Watu wasingekufa, ni uzembe tu.
Lengo lako ilikuwa kusafisha Chama chako, kumbe umekisafisha na brash ya chooni. Umekipaka uchafu
 
Uchunguzi utabainisha kila kitu na Kama Kuna mtu hakutekeleza wajibu wake atawajibishwa haraka Sana, Nina Imani na serikali yangu na Sina wasiwasi nayo
 
Jamani tuwekee picha ya huyu juha kwa vile ni identified uer, anajulikana tumuone
Sasa picha itakusaidia Nini mkuu au una lengo gani ambalo umeshindwa kujibu hoja zangu Hadi uanze kutafuta picha zangu, au unataka unifanyie masula Yale mnayofanya kwa kila mtu anayetamani na kuhitaji kigoda Cha Mwenyekiti wenu
 
We kvma kweli , bora kama yako angepanua k na kukojoa si kuzaa mbulukenge kama wewe
 
Tujikite kulitumikia Taifa letu kwa upendo na uzalendo,Vijana Tusipende kutanguliza mbele maslahi binafsi, Tuipende nchi yetu na Tuipiganie kwa dhati ya Mioyo yetu, kwa Sasa CCM na serikali yake Ndio imeonyesha kuwa na uchungu na maisha ya watanzania,hivyo hatuna budi kuiunga mkono CCM pamoja na serikali yake inayoongozwa na mama yetu shupavu mama Samia
 
Asshole
 
We kvma kweli , bora kama yako angepanua k na kukojoa si kuzaa mbulukenge kama wewe
Namheshimu kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke na kuumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu,pamoja na matusi uliyonitukana lakini Mimi siwezi kukutukana Bali Nakusamehe na kuomba Mwenyezi Mungu akusamehe pia maana hujuwi ulitendalo, Najuwa naweza nikatofautiana na wewe na bado nikakukosoa kwa heshima na staha bila kukuvunjia heshima, Amani iwe Nawe
 
ndege kuvutwa na kamba inaonyesha ni jinsi gani ambavyo serikali ya ccm imeshindwa kuongoza nchi, kwamba navy wana kazi gani
Uchunguzi utaeleza yote hayo na wa kuwajibika watawajibika, Tuiamini serikali yetu Katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…