Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa


08 Novemver 2022

Engineer "Wazo Langu Kuhusu Uwanja wa Ndege Bukoba Lilikataliwa"​



Picha: Engineer Mstaafu wa viwanja vya ndege, Bennie Muberwa Mushumbushi

Niliandika andiko na nililiwakilisha wizarani (wizara ya Ujenzi) mwaka 2017 ili kuepukana na matatizo ambayo yangetokea kwenye uwanja ule.

Mimi ni Mzaliwa wa kule (Bukoba) ili kuona kuna kiwanja kizuri cha ndege kwa sababu kuna abiria wengi Sana kule.

Sikupata majibu mazuri lakini walipokea andiko langu na kusema watalifanyia kazi. Kuna wakati nilijiuliza sana na nikasema nafanya tu huduma kwa sababu nina ujuzi wa hivi vitu na hili jambo linaendelea na hakuna mtu anayejali.

Nilikwenda makao Makuu ya Chama CCM, Kagera"

"Nilitaka kuzungumza na Mwenyekiti wa CCM, Kagera alikuwa anasafiri alinipatia Msaidizi wake ili anisaidie tulieleza hali halisi ya uwanja wakasema wao sio wataalamu, wakaniuliza kama nililipeleka hilo jambo mkoani nikasema hapana!

"Nilikwenda kwa Katibu Tawala wa Mkoa (wakati ule) akasema pia na yeye ana wasiwasi juu ya huo uwanja na walishauona na hawajui wafanye nini. Nilipata nafasi ya kuongea na wabunge wawili wa mkoa wa Kagera. Hili suala hadi leo halijafanyiwa kazi"
Engineer Mstaafu wa viwanja vya ndege, Bennie Muberwa Mushumbushi muda wote nimefanya kazi nje ya Tanzania ikiwamo ICAO yaani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kimataifa
International Civil Aviation Organization
https://icao.int
ICAO
 
08 November 2022

Engineer Mstaafu wa viwanja vya ndege, Bennie Muberwa Mushumbushi, ushauri wangu haujafayiwa kazi kuhusu kiwanja cha ndege Bukoba.

Mhandisi mstaafu viwanja vya ndege, Bennie Muberwa Mushumbushi katika Clouds 360 kuzungumzia sababu za ajali na usalama katika viwanja vya ndege
Source : cloudsmedia
 
Hongera kwa uandishi wako wa kifasihi mkuu. Ni watu wachache sana watakaokuelewa ndugu yangu. Watu wenye akili kubwa akina Pascal Mayalla , FaizaFoxy , GENTAMYCIME , Erythrocyte , et al ndio watakuelewa tu. 😀 😀 😀 😀 😀
 
Akili tope umeandika weeh,
 
Hatuwezi kufanana na chadema, CCM Ni chama kiongozi
Ni kweli, tangu uhuru muko madarakani lakini hamna hata uwezo wa kutumia kasia kuwaokoa raia wa nchi yenu mpaka waokolewe na mvuvi ambaye pengine alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA.
 
Mhhhh kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.

Yangu mim nimefungiwa fupi mno kipind hichi.
 

CHADEMA CHADEMA, Hilo tu ndio mnaweza. Na hivi mmeshuka uchumi wa Kati na kurudi kwenye umaskini.
 
Huyu jamaaa, jina lake la ubini lonawadhalilisha ndugu zangu na majirani zangu, ukisoma historia wale watu ni watu wakakamavu, na waongeaji wa kujenga hoja, ni vigumu kukuta wale watu wakisifia ujinga kwa kiwango hiki. Mtoa mada unaonaje ungebadili id ili kulinda heshima ya akina Mwashambwa?
 
Jenga hoja na jibu hoja kwa hoja na siyo hoja kwa vihoja na viroja
 
Kataa kubali lakini ukweli ni kuwa Lucas Mwashambwa ni member anayedharaulika kuliko wote hapa jf kwa sasa. Sasa kila anayeona thread yake anaidharau na hawasomi tena kwani ni mashudu tupu ya kujikomba kwa Rais. Anaboa sana huyu mtu.
Kupinga pinga kila kitu siyo ushujaa, kosoa na pinga panapohitajika lakini penye ukweli na mema jitahidi kupongeza na kuwa muungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…