Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 798
- 1,871
Kwanza imenibidi nicheke,
Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo?
Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania nzima ni walimu 6 ndiyo serikali imeadhimia kuwa ajili katika ajira hizi mpya
By the way nimesikitika sana waombaji wa somo hili ni zaidi ya watu 1000, hivyo vijana zaidi ya 994 wanaenda kuchezea pesa zoa katika mchakato huu.