Chukua walimu wafungie ukumbini, halafu washindanishe kwa kila mmoja kuandika cover letter na Cv yake akiwa humohumo.
Nakuhakikishia utakachokiona utashangazwa....utachuja maelfu ya interviewees bila jasho..
Wengi wanaweza wasiniamini...wengi hu-Copy na kupaste. Stationery na. Mitandaoni
Beyond that, bado kuna jambo hujalifahamu mkuu. Hizi ajira zitaendelea kutoka kwa uchache hivyo hivyo, uzuri ni kwamba ukishiriki kikamilifu kwenye mchakato jina lako linaweza kuingia kwenye kanzidata (database) hivyo kupangiwa kituo cha kazi nafasi nyingine zikipatikana bila kufanya usaili tena.Kwanza imenibidi nicheke,
Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo?
Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania nzima ni walimu 6 ndiyo serikali imeadhimia kuwa ajili katika ajira hizi mpya
By the way nimesikitika sana waombaji wa somo hili ni zaidi ya watu 1000, hivyo vijana zaidi ya 994 wanaenda kuchezea pesa zoa katika mchakato huu.
Ina umiza. Nichome nauli kwenye Njombe na Sumbawanga alafu nikose hiyo kazi..?Kwanza imenibidi nicheke,
Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo?
Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania nzima ni walimu 6 ndiyo serikali imeadhimia kuwa ajili katika ajira hizi mpya
By the way nimesikitika sana waombaji wa somo hili ni zaidi ya watu 1000, hivyo vijana zaidi ya 994 wanaenda kuchezea pesa zoa katika mchakato huu.
Umetoa wapi hii taarifaKwanza imenibidi nicheke,